Selfika na JF: Snap it. Show it

 
Mkuu sisi ndio tutakuwa tunavaa mitumba yenu first grade
 
Mkuu sisi ndio tutakuwa tunavaa mitumba yenu first grade
Nilirudi likizo Tanzania na mabegi kama 10 nimewaletea ndugu, jamaa na marafiki, hususan shangazi, mama wadogo na dada zawadi, vi perfume na handbags. Vi suti suti kwa cousins, vi laptops, vi camera vi vikorokoro kibao. Nilitumia kama US $20,000 hivi kwa shopping hiyo, kwa sababu nilikuwa sijarudi nyumbani kitambo, na sikutaka kurudi mikono mitupu kwa wapendwa wangu niliowamiss sana.

Airport Dar wakawa hawataki kukubali kwamba mabegi yote yale zawadi, wakawa wanadai nafanya biashara.

Wangekuwa hawana ujinga kama huo kila mwaka ningekuwa napeleka mzigo, tena si wa kuuza, wa kugawa tu.
 
Mkuu salute kwako, at least jf inafanya tupige story na jamii ya watu fulani.
 
Sawa muheshimiwa kiduku lilo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…