Selfika na JF: Snap it. Show it

Mimi huwa naamka na mood nzuri karibia kilasiku nashukuru Mungu Kwa ilo
Siku haiwez Kuisha bila kutabasamu hatamara 10 na zaidi kucheka ndio sana
Alhamdulillah [emoji120][emoji120][emoji120]
Chuki na makasiriko sio shida zako kabisaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwakweli Mie nishakubuhuuuu katu sipelekeshwi na mapenzi tena[emoji16][emoji4]!
Kuna vya kunichanganya ila sio Mapenzi!
Ongezaaa sautiiiiiiii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mapenzi sio shida zakoo kabisaa.
 
Ana mimba ya [mention]Mjep [/mention] kamzunguka rafike ake [mention]cocastic [/mention] ila wanawake nyie mnajua kuzungukana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hayupoo kwa kunizungukaaa, niliwaachaa mwemyewe, na hata yeye.@Mjep anajua.

Muulize akuambieee, huwa siachwiii, mie naachaaa. Upooo??
 
Pepo trokkkaaaaaaah!! Sheendwaah kwajena la yesooooooooooo [emoji2788][emoji2788]!!!!

Ana waubani wakee huyoo shika adabu yako
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hebu sema kweliiiii.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]Nyie hebu niwaache nikapumzike Sasa looh
Leo imekuwa sikunnzuri Nina furaha utasema nimepata bwan mpya Yani had watu wananishangaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Haya asubuhi njema
Kisa Mjep yuko Daslam?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ntakuja kuwavunja miguu wotee hapoo. Shangazii kaa kwa nywilaa.
 
Mletee kwangu nim train kuhusu mapenzii, akitoka hapaa ameivaa kabisaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mletee kwangu nim train kuhusu mapenzii, akitoka hapaa ameivaa kabisaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Train wew sikutaki utaniharibia shogaang na mafantassy Yako😂😂😂
 
Train wew sikutaki utaniharibia shogaang na mafantassy Yako[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee mletee kwangu bhanaa.
Yaan akitoka hapaa, mbna mapenzi kwake sio shida kabisaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…