Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Umeanza kuwapikia lini na leo unalalamika nini hapo??

Huwajui hawa viumbe wewe!!!

Anyways maisha ndio hayahayaaa!!
Acha tuishi humohumoo!
Napika nyumbani Kwa mama Kuna dadaangu Huwa nampelekea chakula anashinda dukani ndo akawa ananisifia
 
Wala hamna kiukweli ndoa sihitaji mwenyew lakin kuhusu waoaji aisee wakutosha Hadi naona ninakoenda nitapat laan za kukataa wanaume dear
Kama hivo ni jambo jema na Inapendeza sana!
Fanya mambo mapemaa uzae mapema ule maisha!
 
Besty nakwambia tena nisikilize vizuri, uzabzab wangu weka pembeni.
Hamna mzazi anapenda kuona binti yake yupo yupo tuu maana anajua tuu kuwa huyu anapelekewa moto tuu. Unauma sana.
Wee njoo bwana nikuoe mie tena mie wala sina mambo mengi 😝
Sina huo mpango Wala sitak ushauri 😀
 
Besty nakwambia tena nisikilize vizuri, uzabzab wangu weka pembeni.
Hamna mzazi anapenda kuona binti yake yupo yupo tuu maana anajua tuu kuwa huyu anapelekewa moto tuu. Unauma sana.
Wee njoo bwana nikuoe mie tena mie wala sina mambo mengi 😝
Kmmk😂🤣🤣🤣, we wako SI bichwa komwe🤔🙄
👉 Cute Wife njoo uone kenge hii🤔🤣😂
 
😇 Kuna theory moja huwa inaonekana kabisaaa na watu huwa hawaitilii maanani.
Mti mmoja wenye matunda kila tunda huiva kwa wakati wake sio matunda yote yataiva kwa wakati mmoja. Sasa kwanini Sisi hatuna Subra ? Ukifikika umri fulani wenzako wanapata wenza wao wewe unakuwa hujapata unaanza kuwa na mastress mpaka unajiona una gundu. Kwanini usiaangalie hii theory ya mti wenye matunda? 😅
 
Back
Top Bottom