[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]halafu kuna mtu (me) tunafahamiana aliwahi kukuta nachat na mtu humu (ke) kama tunajuana vile akanifuata inbox kuniuliza kama mimi na huyo dada tunajuana na mimi vyenye akili zangu nazijua mwenyewe nikamuambia ndiyo tunajuana kabisa
Akasema nimtumie namba yake na picha yake nikamuambia siwezi kupa bila ridhaa yake muombe mwenyewe akaniuliza yukoje nikaanza kuelezea yuko hivi na hivi basi ndiyo akazidi kuchanganyikiwa kutaka kumfahamu kumbe wapi mie mwenyewe simfahamu hata robo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaha me nishaambiwa humu najuana na ID fulani ya Kike very famous ..mwingine akanambia ID me ishanikaza 😂😂😂[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]halafu kuna mtu (me) tunafahamiana aliwahi kukuta nachat na mtu humu (ke) kama tunajuana vile akanifuata inbox kuniuliza kama mimi na huyo dada tunajuana na mimi vyenye akili zangu nazijua mwenyewe nikamuambia ndiyo tunajuana kabisa
Akasema nimtumie namba yake na picha yake nikamuambia siwezi kupa bila ridhaa yake muombe mwenyewe akaniuliza yukoje nikaanza kuelezea yuko hivi na hivi basi ndiyo akazidi kuchanganyikiwa kutaka kumfahamu kumbe wapi mie mwenyewe simfahamu hata robo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Si wanafunguliwaga hadi uzi humu. Hata kiongozi wa wachomoa betri ni mkongwe kweli kweli.Hahaha!
Hao umepambana nao wewe peke yako
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kweli usinisahau.
Lini umeanza gubu?Chats kibao...picha hata za masufuria hakuna
Acha gubu tuma picha.Chats kibao...picha hata za masufuria hakuna
Juice ya apple mkuu[emoji23]Mzeebaba nini hiki?
Ngoja nikusaidie, ni kipande tu cha ardhi kilicholimwa na kupandwa miche ya mbegu kabla ya kuhamishia shambani...Loh!hebu nitafute maana zaidi
Lini umeanza gubu?
Mmezidi kuchat leo.... Emu wekeni pichaAcha gubu tuma picha.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji111][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]daah umenifanya niende kununua juice kama hiyo
Nipo muda mrefu humu ndani namsubiri mdogo wangu Depal atume angalau tumiguu kanafsi kangu katulie..ni logoutMmezidi kuchat leo.... Emu wekeni picha
Ngoja nikusaidie, ni kipande tu cha ardhi kilicholimwa na kupandwa miche ya mbegu kabla ya kuhamishia shambani...
Kwahiyo tutaonana eenh?? Hivi mimi si ndiyo nimetoka kusema siwezi kuonana na mtu yeyote wa JF jamani?? Moyo unanikosea sana aise yaani unashindana na Kichwa khaa[emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2296]
Weka pichaKwani Leo mnachat nini humu
Hahaha...Si wanafunguliwaga hadi uzi humu. Hata kiongozi wa wachomoa betri ni mkongwe kweli kweli.
Na hizo id unazodai ni ngeni ndio za hao hao wakongwe wamekuwa wapya ghafla[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi mkuu wewe upo hapahapa Tanzania au upo huko kwa wenzetu!? Maana, dah!..