Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 74,210
- 183,059
Hapana tena nilivo na bahati za mtende sasa kwakweli hili namshukuru mungu 🕺🤸 !!Inaelekea wamekutesa sana umekuwa gaid sikuhizi
Basi tu sema maisha yana mamboo mengi sana mdogo wangu!!
Hapana tena nilivo na bahati za mtende sasa kwakweli hili namshukuru mungu 🕺🤸 !!Inaelekea wamekutesa sana umekuwa gaid sikuhizi
Na katika hayo matunda, Kuna walaji was Aina nyingi.😇 Kuna theory moja huwa inaonekana kabisaaa na watu huwa hawaitilii maanani.
Mti mmoja wenye matunda kila tunda huiva kwa wakati wake sio matunda yote yataiva kwa wakati mmoja. Sasa kwanini Sisi hatuna Subra ? Ukifikika umri fulani wenzako wanapata wenza wao wewe unakuwa hujapata unaanza kuwa na mastress mpaka unajiona una gundu. Kwanini usiaangalie hii theory ya mti wenye matunda? 😅
Ongeza sautiii pulllllllliiiiiiiiizzzzz 🗣️🗣️🗣️🗣️🗣️🗣️🤠🤠🤠🤠🤠🤠!!
Katika kila jambo ukijichanganya lazima ule za uso 🤣🤣🤣Inaelekea wamekutesa sana umekuwa gaid sikuhizi
Akili zako mbili kasoro wewe!!Kwani natemaga utumbo🤣😂
Huna mpango wa kuolewa tena 🤣🤣🤣🤣 mie nilisema lakini kuwa wee mpaka mwaka uishe ubao utasoma 0.Sina huo mpango Wala sitak ushauri 😀
Alafu Mbona Mimi sijawahi kuwaza hayo ninawaza vitu tofaut kabisa kwenye maisha😇 Kuna theory moja huwa inaonekana kabisaaa na watu huwa hawaitilii maanani.
Mti mmoja wenye matunda kila tunda huiva kwa wakati wake sio matunda yote yataiva kwa wakati mmoja. Sasa kwanini Sisi hatuna Subra ? Ukifikika umri fulani wenzako wanapata wenza wao wewe unakuwa hujapata unaanza kuwa na mastress mpaka unajiona una gundu. Kwanini usiaangalie hii theory ya mti wenye matunda? 😅
Hivi nyie wanawake mnashindwaje kuwatambua wala mbususu na waoaji?Katika kila jambo ukijichanganya lazima ule za uso 🤣🤣🤣
Hiyo ni nadharia yenye uhalisia kabisaaaAlafu Mbona Mimi sijawahi kuwaza hayo ninawaza vitu tofaut kabisa kwenye maisha
Asante chizi mwenzagu 🙏🤣😂Akili zako mbili kasoro wewe!!
🤣🤣🤣🤣🤣 Vitu gani hivyo? Pesa?Alafu Mbona Mimi sijawahi kuwaza hayo ninawaza vitu tofaut kabisa kwenye maisha
Yaani baby Aaliyyah una Akili😍😍😍😍,Alafu Mbona Mimi sijawahi kuwaza hayo ninawaza vitu tofaut kabisa kwenye maisha
Dogo una umwa kicha🙄😂😂😂, blood damn kunguniAh mie namtaka Aaliyyah mtoto mrembo mpole mwenye kujua mume anataka nini. Sema sasa naye ndio kashupaza kichwa kwa ex wake
Hongera dear na poleHapana tena nilivo na bahati za mtende sasa kwakweli hili namshukuru mungu 🕺🤸 !!
Basi tu sema maisha yana mamboo mengi sana mdogo wangu!!
Sasa ukunguni umetokea wapiDogo una umwa kicha🙄😂😂😂, blood damn kunguni
Leave ma girl Aaliyyah alone🙄😂🤣, kabla sija waita walinzi wakupasue😂Sasa ukunguni umetokea wapi
Asante dear hio ya Chini kwakweli nastahili double polee ila always Mungu amekua mwema sana Kwangu nyieeee kuna mambo yasikie tu kwa jirani!Hongera dear na pole