Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Kwakweli nashukuru Mungu nafikiri ilo linanifanya nimekuwa na amani sikuzote
Kuishi kuyalalamikia mapenzi ni kujionfozhea baraka za Allah kukupa mtu sahihi kilakitu kinahitaji subra
Hakika Subra ndio kitu cha msingi😊
Kwanza ukiwa na subra utajifunza na kujionea mambo mengi ambayo yatakufanyq uboreshe maisha yako. 🙏
 
20230618_082207.jpg
 
Hakika Subra ndio kitu cha msingi[emoji4]
Kwanza ukiwa na subra utajifunza na kujionea mambo mengi ambayo yatakufanyq uboreshe maisha yako. [emoji120]

Una lako jambo ww
naijua hyo [emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
 
Kwakweli nashukuru Mungu nafikiri ilo linanifanya nimekuwa na amani sikuzote
Kuishi kuyalalamikia mapenzi ni kujiondoshea baraka za Allah kukupa mtu sahihi kilakitu kinahitaji subra

Shem kama shem mapenzi bila misukosuko,kugombana,kununiana,hayo siyo mapenzi
 
Hii wiki tangu imeanza sielew mama kilasiku mawaidha ya ndoa sijui kuolewa 😀
Kuna mamaangu wa hiyari Jana kanambia ndoayangu anatak ifungwe kwake 😀Na wakat sijatambulisha mtu nimeishia kucheka tu

Last week wifi zangu wameanza kunisifia bila za msingi

Nikija jf ndoa@manyanza mzabzab wamenikalia kooni
Mwingine huyu nikipika tu anaanza madarasa yake😂😂😂View attachment 2661111
Besty nakwambia tena nisikilize vizuri, uzabzab wangu weka pembeni.
Hamna mzazi anapenda kuona binti yake yupo yupo tuu maana anajua tuu kuwa huyu anapelekewa moto tuu. Unauma sana.
Wee njoo bwana nikuoe mie tena mie wala sina mambo mengi 😝
 
Hii wiki tangu imeanza sielew mama kilasiku mawaidha ya ndoa sijui kuolewa 😀
Kuna mamaangu wa hiyari Jana kanambia ndoayangu anatak ifungwe kwake 😀Na wakat sijatambulisha mtu nimeishia kucheka tu

Last week wifi zangu wameanza kunisifia bila za msingi

Nikija jf ndoa@manyanza mzabzab wamenikalia kooni
Mwingine huyu nikipika tu anaanza madarasa yake😂😂😂View attachment 2661111
Umeanza kuwapikia lini na leo unalalamika nini hapo??

Huwajui hawa viumbe wewe!!!

Anyways maisha ndio hayahayaaa!!
Acha tuishi humohumoo!
 
Back
Top Bottom