Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Kwingine huko hadi nijisikie
Naona shida , watu wana majibu huko, ..

Kama MMU , thread nyingi ni za kuponda ke , mara hili mara lile .

Full of toxic
Tatizo lako Wewe unapenda kusikia, kupokeq Habari unazozipenda wewe tu. Na ndio maana unajikuta unashuka sana Moyo. Elewa kwenye mabaya ndio kwenye mazuri.
 
Tatizo lako Wewe unapenda kusikia, kupokeq Habari unazozipenda wewe tu. Na ndio maana unajikuta unashuka sana Moyo. Elewa kwenye mabaya ndio kwenye mazuri.
Sitaki aisee , mule wamezidi duh .
Nalinda my mental well being , so it's important for me kusoma vitu positive tu .

Yani mie hata ukiniambia cha kutisha sitaki .
I need to protect myself .
 
Usipendelee kusikia Yale unayoyata Wewe mwenyewe. Ili ukomae Kihisia na Kiakili ni lazima mambo yote uwe tayari kuyasikia na kuyapitia 😂😂😂
Miss Tins
 
Sitaki aisee , mule wamezidi duh .
Nalinda my mental well being , so it's important for me kusoma vitu positive tu .

Yani mie hata ukiniambia cha kutisha sitaki .
I need to protect myself .
Makuzi yako ya Utotoni ulidekezwa sana 😂😂😂😂
Anza ku move on.
Dunia hii haitaki watu wenye attitude kama zako ulizo nazo Sasa hivi
 
Usipendelee kusikia Yale unayoyata Wewe mwenyewe. Ili ukomae Kihisia na Kiakili ni lazima mambo yote uwe tayari kuyasikia na kuyapitia 😂😂😂
Miss Tins
Sahihi sema humu mtandaoni ni noma ...
Ni character yangu nahisi kupenda vitu positive sana .
 
Hapana you're wrong
Im not boring during dates , ni mimi kuamua tu niwe na mood gani 😂😂.
Unajichanganya mwenyewe 🤣🤣🤣
Mimi najaribu kukuweka sawa we unapinga . Umezikataa dates hapo juu halafu Sasa hivi unasema Niko wrong
 
Back
Top Bottom