Umeandika ukweli..Kuna baadhi ya wanawake jf wako very cooled kitu ambacho hata nje jf watakuwa hivyo hivyo...
Ila sasa kuna wanawake wengine ukiona comment yake moja tuu..[emoji23]..
Ila pia kuna nyuzi za ugomvi zishaanzishwaga jf ...ukiangalia mhusika/wahusika kama kuna vijiwe fulani hivi..
You end up stepping back..!
Ila mimi naamini kila mtu anaweza kubahatika kuonana na mtu from jf na wakafanya maisha pouwa sana
Naam...remember i have been in here since 2006 or 2007, hiyo 2010 ni joining date tu
Since 2014 ndio kumeanza kuwa na vimtu vya ajabu ajabu, nyuzi za ki idiots, douchebags kama wote...
Nyuzi za sijui nimekutana na fulani yuko vile n.k
Wakongwe wakaanza poteahumu, wengine tukachukua sabbatical leaves
Ndio ndio...kinachotokea vegas kinabaki huko huko vegas humu mnakua strangers[emoji23][emoji23]
Hapo pagumu saaanaHata Mimi pia sijawahi kuona...na naamini hata ikitokea na kuonana na member wa kike hatoleta uswahili..ingawa kumuamini mtu napo mmhh..mtihani.
Hata siku hizi party zipo mbona..ila za watu watano mmezidi sana 10...kikubwa ni [emoji482][emoji481][emoji481]
Ila mimi naamini kila mtu anaweza kubahatika kuonana na mtu from jf na wakafanya maisha pouwa sana
Ndo nachosema mimi jamani, kama lengo ni urafiki tuu hainaga shida wala!! Shida ni wabebez bana100℅ hasa waliotongozana pm kizembe. Matarajio yakiwa tofauti ndio na mtu na akili zake mbovu anachomoa betri.
Ni utoto tu.
Lakini kama mmekutana kwa ishu zingine wala hakunaga ujinga huo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nitajitahidi kukuzoea
Hata akiwa mbebez inaweza isiwe tatizo.Ndo nachosema mimi jamani, kama lengo ni urafiki tuu hainaga shida wala!! Shida ni wabebez bana
Maumivu ya mapenzi ndo yanayovuruga mfumo wa akili, na wale wasiojitambua dear!Hata akiwa mbebez inaweza isiwe tatizo.
Ila kuna majitu hayana akili tu kwa kweli.
Hata mkikutana kwa issues nyingine.100℅ hasa waliotongozana pm kizembe. Matarajio yakiwa tofauti ndio na mtu na akili zake mbovu anachomoa betri.
Ni utoto tu.
Lakini kama mmekutana kwa ishu zingine wala hakunaga ujinga huo.
Ndo umeamua kuni shtaki kwa joanah kabisa
Hakika hayana akiliHata akiwa mbebez inaweza isiwe tatizo.
Ila kuna majitu hayana akili tu kwa kweli.
Tatizo la mtu kukuanika humu kwa ID mpya ni la mtu ambaye kwanza hajakuwa na hajielewi kabisaa!!!
Joanah nafikiri hilo unalijua sana tuu kutokana na watu unavyowaona pm! Miandiko tuu inatosha kukuambia tabia ya mtu!
Lengo la kufahamiana huwa ni la watu wawili, kama ni urafiki ni siri yenu ila ambalo huja kuleta shida ni mahusiano yakiingia kati hasa wale wasiojitambua dear!!!
Yeah sana na hata wakaka pia lazima wanakuwaga na childhood crush
Mbona mimi mejuana na ndugu yangu Shunie wala sina hofu kabisaa
Mnachukulia maisha serious sana. Mimi nishaonana na watu wengi humu kikazi na socially. Hadi kesho siogopi kukutana na yeyote nikiamua.Cha muhimu ni kujua unaamua kukutana na watu wa aina gani na kwa sababu gani...
Kuna mtu jf nishafanya nae kazi humu ila hadi leo hafahamu kama ni mimi....
But, beyond the ID's we are hiding there are milions of things to share...
Ukipanga kukutana na mtu..Think about the life after meeting