cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,321
- 188,000
[emoji8][emoji8][emoji182][emoji182][emoji182]Ukiendaga home naonaga huwa haupo humu jf .
On a serious note napenda uwepo wako humu ..
[emoji179][emoji179]
Nikiwaga home hata cm sishiki sanaa, mda mwingi nakua na heka heka, afu unakuta nakua na watu wa kupiga nao story, ko hata cm nakua km naikinai hivii.
Napenda pia uwepo wako humu, [emoji8][emoji8][emoji8][emoji182][emoji182]