sumbai
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 21,039
- 48,151
Sio chumvi. Kapachino ni msema kweli. Wala haongezi maneno.[emoji3][emoji3][emoji3]
Kapachino huyu atatia chumvi nyingi[emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio chumvi. Kapachino ni msema kweli. Wala haongezi maneno.[emoji3][emoji3][emoji3]
Kapachino huyu atatia chumvi nyingi[emoji3][emoji3]
Miss you too Sumbai ! Awamu hii maalum sijaenda mkuu nipo tyuuu Nyakibimbirii hukuuu!😊
😂😂😂😂.Hahah nyimbo tu sikuhiz napenda kuimba sana Yani nikiwasina kazi naomba Yani hizo lyrics naziandikaga nikiwa nasikiliza ingekuwa wanaruhusu voicenote ningekuwekea ufurahi navoimbagaSaut kama chura 😂😂😂
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kahamia kwa wababa wana V8 1 tyuuh km dudu lao, hata hawabadilishi
Hii picha nimeshatoka kuselfika chooni hapa
Msalimie huyo aliyeshika mic
Zamu yangu haijafikaaa, mashoga skeleton ikifikiwaa ntakua winja winja.We mbona skeleton na ni shoga[emoji23]
Yeaaah
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ugomvi upii, fafanua shangaziii[emoji23][emoji23][emoji23]Bora umenisemea, mbali shikamoo ukiamka mwili unauma umepigishwa kwata la nguvu usiku ndo unapewa afu tatu unywe chai akirudi Tena usiku ugomvi unaamka umenuna chai hainyweki [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wee uko wapiiii?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Waifu matirioo huyoo hanaga mbambambaa kabesaaa pia anavaa kwa staraa jikoni ssasssaaa aiiiiihhh!!!!!!!
Asalaam aleykum!
Nimerudi Nyakibimbirii shougaaanguuuu!Wee uko wapiiii?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
😂😂😂😂😂😂😂.
Ofcourse una sauti nzito kidogo halafu wewe ni mtaratibu sana.
Dear nimeona ndinga, mikono inawasha kukanyaga mafutaaa.View attachment 2659741
Furahi dei…hello Dsm
Tunapishana sanaEeh muda dear
Nipo aisee
Siku zaenda tu .
😂😂😂Nitafafanua dear😀😀😀[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ugomvi upii, fafanua shangaziii
Napenda sana voice notes kwa kweli, na hii sautiii sasa woiiiiiiHahah nyimbo tu sikuhiz napenda kuimba sana Yani nikiwasina kazi naomba Yani hizo lyrics naziandikaga nikiwa nasikiliza ingekuwa wanaruhusu voicenote ningekuwekea ufurahi navoimbagaSaut kama chura [emoji23][emoji23][emoji23]
Picha haifungukii jomonee, lol
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unarudijee nyakimbirii?? Swampaaa had huku Dsm weyeee.Nimerudi Nyakibimbirii shougaaanguuuu!
Fanyaa fastaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nitafafanua dear[emoji3][emoji3][emoji3]
Hebuu weka tsup video clip ukimuimbia G akoo kwanza nifurahii mieee!!😁Napenda sana voice notes kwa kweli, na hii sautiii sasa woiiiiii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]