Yes.Hahhaa na Chamanzi je
Kuna vyumba unasema jamani duh
Wakati naanza kupanga nilitamani kukaa Mbagala aisee
Life la kule wanasema ni rahisi tofauti na kwingine huku
Yes. Ila ukiwa na dharura au haraka Boda utapanda tuuuYaani sipandi boda boda huko
Mwendo mfupi buku tatu .
Na wapo rough sana , wanawaza kuwahi vichwa tu .
Huko raha aiseeeYes.
Chamazi mbagala wanalife rahisi sanaa.
Asubuhi mihogo yakukaanga mchana ugali dagaaa na pilipili. Yani kila nyumba Kwa nje either wanakaanga dagaa Mchele au mihogo asuhubi
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeah ukichelewa sana sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee jua nimekuona samuwea.Ebo! Wapi huko tena?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimechekaa had machozii, cazee ko wee rafiki ako ni Mungu?? WoiiiiiWengine rafik yao wa faida zaidi ni MUNGU sasa wewe jichanganye uone
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa wee unaogopaa kulogwa??X wako wa zaman anataka kuloga mtu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbna hatariii.Na vile walivyo wafupi kumbe warefu , coca atakuwa hasikii kitu[emoji23][emoji23][emoji23]
Tuna haraka sana,halafu huu udereva husomei ,nikufundishana tu kitaani😂
Umenikumbusha dereva mmoja juzi
Tukabaki kushika vichwa
Ameovertake magari mengi,,halafu mbele yake kuna magari yanakuja,,akaingia tena
Heri alikuwa pekeyake.
Madereva boda Mungu awasaidie aisee maana ukishashika boda tu akili inakuwa si kujipachika kulekule kwenye magari aliyoyaovertake na nafasi hakuna,
sasa Ile ingia yake😂🙌
Picha haifungukii jomonee, lolView attachment 2659272
[emoji124]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] utadhan skeleton, uwiiiiih[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2659315
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umenikumbusha dereva mmoja juzi
Tukabaki kushika vichwa
Ameovertake magari mengi,,halafu mbele yake kuna magari yanakuja,,akaingia tena
Heri alikuwa pekeyake.
Madereva boda Mungu awasaidie aisee maana ukishashika boda tu akili inakuwa si kujipachika kulekule kwenye magari aliyoyaovertake na nafasi hakuna,
sasa Ile ingia yake[emoji23][emoji119]
UE mnaanza lini?? Nataka niingie kwenye maombi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tabata.Huko raha aiseee
Vitu vingi bei chee , huku kwingine ni kuvumilia tu
Vyumba vizuri sana kwa sie tunaanza maisha panafaa huku ukiijpanga .
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] baada ya weekend hii.
Wengi wenu ni vichaaTuna haraka sana,halafu huu udereva husomei ,nikufundishana tu kitaani
Wakishashika tu ile toyo akili huwa zinapeperuka na ule upepo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaha, boda boda napitia magazeti yote kwa siku