Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
Nzuri dear vipi wewe ??Poa ,za uzima?
Nzuri dear vipi wewe ??Poa ,za uzima?
Madam English figure SI ndo hao ??, Afu Kuna wengine wenye hayo mashape Kama wagonjwa🤣😂Aisee
Vyema sana
Kuna sie hatupo kwenye shape wala english figure sijui unasemaje
Naona ume Amkia hili leo🤣😂, kimekukuta Nini baby🤔🤣😂😂😂😂Kwan uongo wanatak tako wafiche mifupayao😂😂
Mimi niko salama kabisaNipo poa namshukuru Mungu
Na wewe je
Baby Aaliyyah fanya hivyooMselfike tuwaone
Slimthick😋Aisee
Vyema sana
Kuna sie hatupo kwenye shape wala english figure sijui unasemaje
Kama kawa dogo....We mshamba_hachekwi salimua wakubwa🤣😂
Kama mie natamani kweli kuwaonaMselfike tuwaone
Mkuu wewe sijawahi kukuona mbona😂Mselfike tuwaone
NzuriNzuri dear vipi wewe ??
Hizi dharau aisee🤔🤣😂Kama kawa dogo....
Selfika basiKama mie natamani kweli kuwaona
Acha kuharibu kwa unafiki wako🤣😂Mkuu wewe sijawahi kukuona mbona😂
dogo la below 25 unataka salamu😂Hizi dharau aisee🤔🤣😂
Aiseee utakula mbata🤣😂dogo la below 25 unataka salamu😂
Kwahiyo akijitokeza mwenye ubavu wake utampa bila hiana?😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣Napenda amani sana
Coming soon Aaliyyah 🤣😂🤣🤣🤣🤣Napenda amani sana