Selfika na JF: Snap it. Show it

Hahahaa..


Kama nakuona unavyobadilisha laini za simu
...
 
hapana hutakiwi kuwa hivyo marafiki wema, wenye upendo na kujali utu tupo joanah
 
Malizia hii story Karma.

Nipo nimeagiza Pepsi ya baridi kabisa..
 
Nafikiri mpaka uwe rafiki na mtu mshazoeana zaidi ya comments za jukwaani!!

Na mnapokuwa mnawasiliana wawili tuu, lazima kuko na vitabia utaviona kabla hata hamjaonana!!

As for me, inaweza nichukua hata miaka mbili nawasiliana na mtu tuu bila hata kuonana naye akiwa na haraka anaweza kuondoka tuu dear!!

Kiukwelii mimi napenda sana kukutana na watu wapya walonipita umri, kiuchumi, elimu! Napenda kujifunza, kinachonitesa humu ndanii ni kuelewa tabia zao kama kweli zitaendana na zangu!
 
Cha muhimu ni kujua unaamua kukutana na watu wa aina gani na kwa sababu gani...

Kuna mtu jf nishafanya nae kazi humu ila hadi leo hafahamu kama ni mimi....

But, beyond the ID's we are hiding there are milions of things to share...

Ukipanga kukutana na mtu..Think about the life after meeting


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…