Selfika na JF: Snap it. Show it

Mapanga duuh aki nahisi ningezimia hapo hapo kwanza then wangeniibia kwa amaniπŸ˜‚

Pole sana, vibaka sio watu poa kabisa
 
Mapanga duuh aki nahisi ningezimia hapo hapo kwanza then wangeniibia kwa amaniπŸ˜‚

Pole sana, vibaka sio watu poa kabisa
Ndio taifa letu hili limeshindwa kuja na mkakati wa kudhibiti au kupunguza haya matukio, zanzibar hizi mambo hazipo, lakini hapa Dar ni shida na Vibaka wanakuwa wanajulikana kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…