Selfika na JF: Snap it. Show it

Utaanza kulia saa ngapi?🤣🤣🤣

Tatizo lako umafia umekuzidi, upunguze ugumi basi japo kidogo
😂😂 afu hapo nitaanza kulia saa ngapi nishalog in kwa simu ingine, nafind my phone nakuta location off.

Simu inasema Depal is offline
Nikaona hamna kitu hapo.. 😂😂 nalia?? Namlilia nani? Ili iweje?
Erase data chap, nikatulia.
Nikawasha kitochi.

Ndio tukaenda porini. Bro ananiangalia anacheka balaa anasema aliyebeba simu kakukomesha.
Dogo kaview status ya bro tuko porini. Anapiga anasema mbona hupost picha? Nilikuwa sijawaambia kama cm imepotea, basi nikamwambia 😂 imagine wanaumia wao ambao simu sio yao. Mama ananiambia nunua za laki 2 tu 🤣🤣 aiiii

Ugumu naupunguza nikiwa kwa shemeji ako
Huku kwingine wacha ubakie. Unanisaidia na mengi.
 
Simu ya laki 2 jamani itakua na camera ya ukungu hee 🤣
Ila iliondoka kipindi kibaya sana, Ile trip ilitakiwa uturushe roho sana kwa status 😂

Ila umafia saa nyingine unasaidia Sana huku mtaa
 
Pole saana, tumia wale wa mitandao, hawa boda wa mtaani wakati mwingine wanashirikiana na wezi, unaweza kumwona kama vile hajui kumbe ni kati yao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Simu ya laki 2 jamani itakua na camera ya ukungu hee 🤣
Ila iliondoka kipindi kibaya sana, Ile trip ilitakiwa uturushe roho sana kwa status 😂

Ila umafia saa nyingine unasaidia Sana huku mtaa
Bro sasa si ndo akanipa ile infinix
Eti weka laini humu nikutumie picha uvimbe status.
Wai kuishika simu haina tofuti na mche wa sabuni 😂😂😂
Si ndo nikazingiziia haipeleki moto
Ila atakuwa alielewa tu sjaipenda
 
aliporwa simu, wallet akapigwa visu.... hiyo siku focalistic alikuja pale the hub palijaa sana.... mi niliwahi kuondoka kesho yake ndo nikaambiwa
duh
Ila mambo yenu huku bana.
Mnajikuta kama mko Sauzi

Kwa tukio la leo, kuna vitu naacha kabisa.
Kwanza usikute ni Mungu kanipa alert maana huu mwezi nimezurura mno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…