Selfika na JF: Snap it. Show it

Mwanayamala,Kinondoni sio salama kabisa a friend of mine walimpora alikua anaongea na mtu pale maeneo ya Biafra[emoji1][emoji1][emoji1]
Nilishawahi kukabwa Mwananyamala saa 5 asubuhi na madogo walikuwa wana visu bahati nzuri nilikuwa na Ki Itel na hela niliiweka M PESA wakanikuta nina sh 400 tu.
 
Ila kwanini hukushtuka wala kuogopa🤣
Mkoba nilikuwa nimeuweka site isiyoweza anguka kirahisi... af nilikuwa nimeushika tight mno, ile pia nadhani ilifanya nisipate woga kuwa utabebwa.

Pili roho ya mashtuko nadhani sina, ile december nilivyopoteza simu namwambia wifi simu imepotea getini mle ndani wakawa hawaamini mpk wakaenda kwenye camera.
Kisa sura yangu ilikuwa iko zake kawaida like nothing happened., mpk wallivyopiga simu haipatikani, ndo wanaanza kunisikitikia,, Me niko kawaida,. Kesho niko kawaida.
Mdada wa kazi ananitania utaanza kulia saa ngapi? 🤣🤣
Nacheka tu yan
 
unaona sasa.... we si ulinicheka tukio langu😂

enewei pole, shortcut ya bia usipite jioni au usiku labda uwe na gari.... na ile njia inapanda kutoka pale gold crest kutokea kule mount meru
 
Af kweli, maana angekua kwenye gari yake haya yote yasingetokea
Depal unataka gari gani eti
Gari ndio haziporwi?
Si inapigwa chain tuta tu inakwama 😂

Me napenda ractis ya kijani au nyeupe 🤣🤣🤣
 
unaona sasa.... we si ulinicheka tukio langu😂

enewei pole, shortcut ya bia usipite jioni au usiku labda uwe na gari.... na ile njia inapanda kutoka pale gold crest kutokea kule mount meru
We sa unaibiwaje The Hub!? 🤣🤣

Gold crest ipi? Inayopanda The Hub?? Ila boda na bajaji nimemaliza nazo mkataba ikifiika jioni
 
Utaanza kulia saa ngapi?🤣🤣🤣

Tatizo lako umafia umekuzidi, upunguze ugumi basi japo kidogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…