Wanasema uzuri wa mtu, uko machoni kwa mtu. Usilinganishe na mtu. Kila mwanamke ana uzuri wake wa kipekee. Hakunaga mwanamke mbaya wote ni wazuri kwa vile utakavyomuona.Niwe Mrembo nitrambeee!! Acheni utanii... Mbantyuuuu namba😍 moko mpaka fiveee🤩🤩🤩
Naupitia hapoooo mnywaniii tena ndio msimu wake huuuuu hapo kwenye mchele umegusa penyewee mnyamaaa.. Anapenda waliii balaaa!!Niko mashineni hapa na kuandalia mchele ukale na kina jr ati
hahaha! Hapa nimejiridhisha hakuna ndevu!Na Mbantu Nawagawaa bureee mjueee naona Mnaniuza mchana kweupeeee 😊😂!!
Hahaha dogo haelewi na pigo zako za matoke mnywaniNaupitia hapoooo mnywaniii tena ndio msimu wake huuuuu hapo kwenye mchele umegusa penyewee mnyamaaa.. Anapenda waliii balaaa!!
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂!hahaha! Hapa nimejiridhisha hakuna ndevu!
Sasaivi naogopa kupigwaa.
Kupigwaaaa basi
🙆♀️🙆♀️🙆♀️🙆♀️ naonewa miye hata hajaniambia alipo ujue. Anarukaruka kama maharage ya ukweni. Alisema kusafiri bado. Kumbe kishafika huko? Sina habari Chino akeNimekusubiria wee uniletee huyu mchuchu nikae nae hata TTG korogwe pale umeniangusha mbantu
Hili toto mbantu Ni lizuri!Wanasema uzuri wa mtu, uko machoni kwa mtu. Usilinganishe na mtu. Kila mwanamke ana uzuri wake wa kipekee. Hakunaga mwanamke mbaya wote ni wazuri kwa vile utakavyomuona.
cc Kapachino
Acha kabesaaa mnywanii nishakua addicted na matokee mieee!!Hahaha dogo haelewi na pigo zako za matoke mnywani
Embu mshomeshe aje aoge maji ya bahari aiseee!!🙆♀️🙆♀️🙆♀️🙆♀️ naonewa miye hata hajaniambia alipo ujue. Anarukaruka kama maharage ya ukweni. Alisema kusafiri bado. Kumbe kishafika huko? Sina habari Chino ake
Maharage ya ukweniiii🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣!!!🙆♀️🙆♀️🙆♀️🙆♀️ naonewa miye hata hajaniambia alipo ujue. Anarukaruka kama maharage ya ukweni. Alisema kusafiri bado. Kumbe kishafika huko? Sina habari Chino ake
Kwakweli nahitaji sana maji ya bahareee na mafushooo 😂😂😂😁!!Embu mshomeshe aje aoge maji ya bahari aiseee!!
Hahahaha!🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂!
Nacheka kama mazuri nyieeeeeee
Bantu Lady kumbe mnyama mkaree nae alinusurekaaaaa 🤣🤣🤣🤣😊😊😊!!
Pole sana mnywanii hahaha ajali kaziniii😂
😂😂😂😂😁😁😁😁!! Ndevu noumaaa sanaa mnywanii!!🤭🤭🤭!!Hahahaha!
Nilinusurika kwa Nani Tena.
Hahaha Kuna watu wanapigwaaa eh
Hahaha paragraph ya mwisho nairudia kusoma mara mbili mbili ujue mnywaniAcha kabesaaa mnywanii nishakua addicted na matokee mieee!!
Mwili unakua lainiiii na maungo yanalaenekaaaaa etyiiii😛🤗🤭!!
Wapi tena huko? Haya Chino mrembo wako huyo anakuja huko uliko. Kaa mkao wa kula. Usije kulalamika tena hapa. Bahati haiji mara mbili...Maharage ya ukweniiii🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣!!!
Keshokutwa naelekea Tinde kumpungia mkono mnywaniii😂😂😂😁!
Hapo sijachanganya na ntongo na ntulaa Alooooooohh🕺🤣🤣🤣😂!!Hahaha paragraph ya mwisho nairudia kusoma mara mbili mbili ujue mnywani
Eendiwoooooooo ndiwoooo anisubirie hapohapooo Tindeeee tuselfike kwanzaaa🤭😁!!Wapi tena huko? Haya Chino mrembo wako huyo anakuja huko uliko. Kaa mkao wa kula. Usije kulalamika tena hapa. Bahati haiji mara mbili...