Joanah
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 26,191
- 96,337
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]anakukwepa?
Ee hataki kuonana na mimi eti 😂😂😂😂
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]anakukwepa?
Ee hataki kuonana na mimi eti [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Basi hilo pande nimegee mimi[emoji41]
Hahahahh being fake doesn't mean sihitaji marafiki....tunaweza kuwa marafiki humu humu tu ...haipo nafasi ya meeting
Mshawishi basi tukutane watatu
Halafu bahati nzuri wewe na yeye watu wa vyombo [emoji28][emoji28]
Hahah!Mkuu nisaidie basi ni-meet na Atoto, yeye haelewi kukutana live ndio mpango mzima, ila hiyo ya ku-check mwaka mzima mimi sitaweza [emoji39]
Anapenda k vant yule...
Ooh sasa mbona imekaa kama nnya??[emoji2960][emoji2960]
[emoji23][emoji23][emoji23]mara paap wanazengo wanaanza kusema jo wetu ni male...aisee nitapambana nao hadi nipate ban[emoji23][emoji23][emoji23]
Wakisema mie ni male it's all good
Hata hivyo hakuna mwenye uhakika kama mie ni wa kike kweli [emoji23][emoji23][emoji23]
Watu8
[emoji23][emoji23][emoji23]achana nao....kama walishindwa kuona hata ule mwandiko wa kike watakua na matatizo[emoji41]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi kuna mwandiko wa kike na wa kiume
Wakibisha sana uniambie niwaprove wrong kwa kutupia lijiselfie la #uno hapa [emoji23]