Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

1000091988.jpg
 
Yani mpira wa ulaya ulivo hautabiriki utashangaa Inter Milan ndio wanabeba binafsi natamani leo Man City waweke rekodi yao asee, baada ya hapo next season naiombea PSG nayo waweke rekodi yao wakiwa na Mbappe kama hataondoka dirisha hili, maana naona ndio Lengo lake kuacha historia pale Paris ndio maana hataki kusepa
Leo Man City mapema sana ananyanyua ndoo UEFA

Mbappé hata abaki PSG sioni wakiwa na timu ya ushindani kubeba UEFA
 
Back
Top Bottom