Ngoja nimwite mwenyekiti wa mizagamuano Mzee wa kupambania 😂😂
Madam nilitoe Hilo ua??Jichange na Mjep nilete mtaalamu wa kulitoa!😁
Dahan, mshamba_hachekwi, Poor Brain mwambienu Aaliyyah anisaidie Mana Ninapo elekea🤔🤣🤣🤣Bendera eehh😂😂
😀😀😀DahDahan, mshamba_hachekwi, Poor Brain mwambienu Aaliyyah anisaidie Mana Ninapo elekea🤔View attachment 2654006
Ume tuchoka wageni🤔, Mana tu msosi tudogo- Afu leo tule saa 5 usiku🤔😂😂😁😁😁
Tutakula jioni!!!!!!
😀😀
Mgeni siku ya kwanza tu! Ya pili ushapajua jikoni.😏😏Ume tuchoka wageni🤔, Mana tu msosi tudogo- Afu leo tule saa 5 usiku🤔😂😂
He buku haitoshi hata unga kilo😂🤣Mgeni siku ya kwanza tu! Ya pili ushapajua jikoni.😏😏
Toa 🌼 nikupe buku fasta!😁
Kwani ilikua ya chakula...?🙄🙄🙄
Kwenye dunia yetu, we work only for food🤗.Kwani ilikua ya chakula...?🙄🙄🙄
Hahha kwaiyo utanirudisha
Basi mtafute machef kabisa 🙄Kwenye dunia yetu, we work only for food🤗.
Bantu Lady Kapachino YE67NBE National Anthem nimewamisoo hafi naumwaaaa Mimiiiii[emoji182][emoji182]