Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,408
- 102,315
Kaka nawachora Nini🤔🤔 mshamba_hachekwi 🙄unatuchora tu wewe😂
Kaka nawachora Nini🤔🤔 mshamba_hachekwi 🙄unatuchora tu wewe😂
unakula kweli huo msosi?Wagumu Kaka🤣😂
Mipango haisomeki shekhe, Ina bidi tuishi kikauzuunakula kweli huo msosi?
hamnaga chai na hoho....Kaka nawachora Nini🤔🤔 mshamba_hachekwi 🙄
Si mchezoMipango haisomeki shekhe, Ina bidi tuishi kikauzu
Mkuu lazima ushangae, maana we kwenu SI hadi una friji la matunda chumbanj ehh🤔hamnaga chai na hoho....
Afu mkuu ukizoea, unahisi unakula kitumbua au mkate🤓Si mchezo
kwanini unafanya hivyo.... ni aphrodisiac ama niniMkuu lazima ushangae, maana we kwenu SI hadi una friji la matunda chumbanj ehh🤔
Yeah au unataka unizuie nibaki bongo kijanaUna tiket ya ndege go and return
Hapana aisee, Kama mishe hazisomi.kwanini unafanya hivyo.... ni aphrodisiac ama nini
Kaka mnataka kwenda wapi tena, SI mtupe hata ubeba mabegiYeah au unataka unizuie nibaki bongo kijana
kwahiyo unapunguza gharama za maisha auHapana aisee, Kama mishe hazisomi.
👉Hizo nguvu na stimulate za Nini🤔
Mkuu kuna dili nitakupa tuliaKaka mnataka kwenda wapi tena, SI mtupe hata ubeba mabegi
Na survive tu, kikomandookwahiyo unapunguza gharama za maisha au
kazi ipo😅Na survive tu, kikomandoo
👉Maana nikisema napunguza Gharama, nitakuwa naongopaa
Barikiwa Sana Kaka🙏🙏, hata Kama nitatakiwa kujifunza. Basi niko tayari Jack PalladinoMkuu kuna dili nitakupa tulia
Ni zaidi ya Zama uajemikazi ipo😅
Mkuu kazi kivipi??kazi ipo😅
Ukichelewa utalamba sufuria!😉Usimalize nipo njiani
Nipo getini hapa😊Ukichelewa utalamba sufuria!😉