Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,540
- 88,485
Hivi hiki ni nini??
usiku mwemaView attachment 1273787
usiku mwemaView attachment 1273787
Heheh vip, mbona diih
Umeadimika sana white ...
Hahahahahahakwa sababu ni bimdogo. Right ?
But I upgraded you to the first wife position, remember.
Kwa kweli umejitahidi kusimama!Sasa ningefanyaje hapo bhna ata hivi mimi naona nimejitahid picha kama kapiga lukamba bhna hila nimecheka sana





Hahah...
You know what, I prefer meeting peeps in personal, maana ishatokea so many countless times and i don mind...
Why meeting in personal, maana hapo takutana na mtu mmoja, lakini ukiweka picha it's like one person meeting a bunch of peeps virtually...
Halafu em losers will be like wanakujua sana, idiots watakuja na yao etc etc (na JF bahati mbaya iko zaidi na jamii hii ya watu kuliko wengineo)...





children of our future
Good morning to you and yours. Mine's helping me getting ready to take her to school.
View attachment 1273900
Good morning to you and yours. Mine's helping me getting ready to take her to school.
View attachment 1273900
sio zangu
Good morning to you and yours. Mine's helping me getting ready to take her to school.
View attachment 1273900
Hahaha...Hahahahh mie naprefer kustay fake kuliko kuweka picha yangu humu ama kumeet na mtu
Weka yako kwanza.Onyesha inye hyo au ndio flat wengne hatuna mvuto na mbau mbau mnajaza kumbukiz data ya jf tu![]()
Ndio muda mzuri wa kulala dear.Atoto jaman mapema yote hii?
Hii picha sio yako!!where are them curves??Nimewamiss woteView attachment 1273442
Ubachela kazi kweliView attachment 1273783
Good morning....
Asante sana Meeyah.Upo vizuri
Hahaha...
Meeting with total strangers and become friends inakuaje fake tena Jo....
Kwani how many times in real life (outta here) unakutana na watu hujuani nao kabisa...
Binafsi i don mind isipokuwa background check itafanyika probably hata mwaka mzima, sababu there's a thin line between being real n fake, no matter how fake you're in here, mioyo yetu itaendelea kubaki halisi...
