Carasco Putin
JF-Expert Member
- Apr 23, 2022
- 13,249
- 37,536
Kitu teketeke 😅daaaah qmmmmmmq
Halafu madogo wamekuwa walaini sana unakuta toto la kiume lina mapaja laini kama demuYeah ni kweli, miaka yetu wakati tunakuwa, hayo mambo ya Burger sijui Pizza hayakwepo kabisa.
Sikuhizi ni kawaida kumkuta dogo wa class V ana kilo 60 kutokana na hayo mavyakula.
Dokta Issac Ndodi alikuwa anasema Turudi Edeni 😜
uko na dietNa matunda bas tu nimechoka kuanza kupika pika
one minute man 😂Mwanaume wa Dar heee
Usilie Sasa🤣🤣😂😂🤣🤣🤣🤣
Ni shida mkuuHalafu madogo wamekuwa walaini sana unakuta toto la kiume lina mapaja laini kama demu
🤗🤗😍😍 Klayanti adumu
Samahani we ndo mmiliki au marketing manager🤔🤔
Hahaaha WA Nuzulati mzeeiyaLakini sio ugali unaopikwa na Aaliyyah eh?
Mlozi wa kampuni anayewahakikishia uhakika WA safariSamahani we ndo mmiliki au marketing manager[emoji848][emoji848]
Mic u mama maleziii [emoji182][emoji182][emoji8][emoji8]Mlishapata mishono boss lady?