Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,682
- 208,862
Mbona kupuuzwa!! 🤣🤣Burger na chips hazina uhusiano na allergy, upuuzwe
Watu tuna aleji na makande huku
Mbona kupuuzwa!! 🤣🤣Burger na chips hazina uhusiano na allergy, upuuzwe
Cc LenieYeah ni kweli, miaka yetu wakati tunakuwa, hayo mambo ya Burger sijui Pizza hayakwepo kabisa.
Sikuhizi ni kawaida kumkuta dogo wa class V ana kilo 60 kutokana na hayo mavyakula.
Dokta Issac Ndodi alikuwa anasema Turudi Edeni [emoji12]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mbona kupuuzwa!! [emoji1787][emoji1787]
Watu tuna aleji na makande huku
Huyo hawezi kuelewa, kila siku lazima apige Pizza 🍕 mbili ndiyo alale 😜🏃🏃
Sio kweli bana
Na pepsi bariiiiidi😋Huyo hawezi kuelewa, kila siku lazima apige Pizza 🍕 mbili ndiyo alale 😜🏃🏃
Mpeleke pizza hurt pale ya mikocheni au mlimanNa pepsi bariiiiidi😋
Na mbona sina hizo allergy au manyama uzembe, nyie acheni kupotosha umma.
Pizza huRt ndio nini uduguMpeleke pizza hurt pale ya mikocheni au mliman
Pizza hut 😂😂😂😂😂 typing errorPizza huRt ndio nini udugu
Halafu last time walinipa vocha ya elf 5, nasubiri alhamis ifike niende naongezea 10k nijipatie large size🍕Pizza hut 😂😂😂😂😂 typing error
Naomba mwaliko mimi nipe ofa ya combo tu 😂😂Halafu last time walinipa vocha ya elf 5, nasubiri alhamis ifike niende naongezea 10k nijipatie large size🍕
Nitafute alhamis tukale wote largeNaomba mwaliko mimi nipe ofa ya combo tu 😂😂
Sasa natoka job saa kumi na moja 😂😂😢Nitafute alhamis tukale wote large
Ukitoka nichekiSasa natoka job saa kumi na moja 😂😂😢
Bahati sijaonapo huo Ubonge ulionao, ila hizi Pizza na Pepsi lazima zikupe Kitambi hadi ushindwe baadhi ya mikao 😜Na pepsi bariiiiidi😋
Na mbona sina hizo allergy au manyama uzembe, nyie acheni kupotosha umma.
Kitambi which when how?Bahati sijaonapo huo Ubonge ulionao, ila hizi Pizza na Pepsi lazima zikupe Kitambi hadi ushindwe baadhi ya mikao 😜