Nuzulati
JF-Expert Member
- Nov 25, 2020
- 10,756
- 39,397
Nichiro mgosigwa hukugona🛌
Nichiro mgosigwa hukugona🛌
Hapana mimi ni Mshana JrSamahani we ndo mmiliki au marketing manager[emoji848][emoji848]
Mana imebidi nishangaaee🤣😂😂, Mana so kwa debe Hilo🤔🤣😂
Siku hz hakuna taarifa za kilingeni mkuu ,vipi ?
+ na chips chombeza kwa tumbo lako unashiba vizuri 🥳
Kapo zianze kusafiri usiku.......
Kakeshee wavuvi utochoka
Pambana na hali yako😁😁Nimefumaniwa usiku wa leo maombi yenu
🤣🤣🤣🤣🤣🤣+ na chips chombeza kwa tumbo lako unashiba vizuri 🥳
Kazi za klayanti ziendelee.
Wavuvi gani? Unadhani kila mtu anakaa majotoniKakeshee wavuvi utochoka
Kwa karitoWavuvi gani? Unadhani kila mtu anakaa majotoni
Ngoja nimalize kiporo, nakuja.....😍😍Chukua samosa 1 Dr Lizzy ule wakati ukipambana na deadline za klayanti.
Beautful samosa from Village supermarket. View attachment 2648717