Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 43,253
- 90,452
Siku hz hakuna taarifa za kilingeni mkuu ,vipi ?
Siku hz hakuna taarifa za kilingeni mkuu ,vipi ?
+ na chips chombeza kwa tumbo lako unashiba vizuri 🥳
Kapo zianze kusafiri usiku.......
Kakeshee wavuvi utochoka
Pambana na hali yako😁😁Nimefumaniwa usiku wa leo maombi yenu
🤣🤣🤣🤣🤣🤣+ na chips chombeza kwa tumbo lako unashiba vizuri 🥳
Kazi za klayanti ziendelee.
Wavuvi gani? Unadhani kila mtu anakaa majotoniKakeshee wavuvi utochoka
Kwa karitoWavuvi gani? Unadhani kila mtu anakaa majotoni
Ngoja nimalize kiporo, nakuja.....😍😍Chukua samosa 1 Dr Lizzy ule wakati ukipambana na deadline za klayanti.
Beautful samosa from Village supermarket. View attachment 2648717
Yaani me muda huo naota ndoto ya 6
village supermarket watengwe aisee.... ni🔥🔥Beautful samosa from Village supermarket.