Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,511
- 235,218
Mama anaupiga mrefu.Nakaziaaaaaaaaaaaaaaa!!
Nyumaaa mwikooooo!!
Wachezaji wa kimataifa wanapata dinner Ikulu.
Kama hujacheza fainali ukae kimya😂
Mama anaupiga mrefu.Nakaziaaaaaaaaaaaaaaa!!
Nyumaaa mwikooooo!!
Sisi hao shwaaaaKama upo Dar tukapande twende Mbeya😀
Hivyo viazi au magimbi🤔🤔Chatini na pichaaaa😂😂😁!!
Nayapendajeeeeer😂😂
Sibishani na watu ambao hawana medali na hawajafika fainali😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kikubwa Kombe limebaki uarabuni, mama hata akitaka awape ikuluu sawa tyuuh.
Treinnaaa watuliee kama maji ya mtungiiii!!Mama anaupiga mrefu.
Wachezaji wa kimataifa wanapata dinner Ikulu.
Kama hujacheza fainali ukae kimya😂
No maliceeee😁😁😁, Afu itakuwa Kama nalazimisha🤔😁😁 AntonniaWee kichaa ake mi nilikua nakutania tyuuuu mapensi ni ya wawereeeee watratruuu mchawiiiii
Yangu yenyewe yananishinda niingilie ya mtyuuu 🙌!
Yanga ana dinner IkuluNipe jibu
View attachment 2647008
Huku Nyakiboo yanaitwa masomaaaaa !Hivyo viazi au magimbi🤔🤔
Tumoghele🔥🔥🔥.Treinnaaa watuliee kama maji ya mtungiiii!!
Weee nipe chimbo zuri la mduduuuuu!!
Mbeya unakuja linii???
Wapo wanatema nyongo kule sportsMfyuuuuu...👽👽👽
"Kumbe sikuhizi wachawi sio wazeeee"
Juzi Makolo mlitaka kufaaaa 😏😏😏😏😏
Asantreeeeeeh sanaaa.....!Tumoghele🔥🔥🔥.
Pale Mwanjelwa,Nyuma ya soko lile la Mwanjelwa
Kunakuwaga na mdudu mtamu hatari.
Kwingine uswahilini huwezi fika😊
Simba wanataka wapasuke..
Ndo hivyo tena ndege tumepewa
Wananchi wanapanda ndege.
Saana..Randy Orton is the best 😊🔥View attachment 2646366
AiseeHuku Nyakibimbirii ankoli akee!! Jua kama loutreee
Huko leo sijatembeleaa hahahaaa . ngoja nikatanue mapafu huko sports!!Wapo wanatema nyongo kule sports
Mama ameshikilia hapohapo..
Na kurudi tunarudi nayo.
Thimbaaa😂😂😂
Hatukuwatuma sisi msifike fainali za kimataifa.
AiseeNzuri kuna kamvua leo siku nzima. Hali ya hewa nzuri sana. Unanitisha sionani nawewe Ankol.
Samalekooo jirani ✋! Karibu tena Selfikaaaa!!Aisee
Makolo ni failure😅Sisi hao shwaaaa
Tunaenda Mbeya
Wenye nchi yetu jamani.
Makolo wamenuna.
Mtusamehe tu
Uchovu wa safari za kimataifa,hatuwezi kwenda sugua makalio kwenye bus.
Lazima tupande tena ndege.