Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mwambie aje abanane hapahapa na Hawa wangu wanne mshindi atatangazwa kanisani au msikitini 🤣🤣🤣🤣atabeba kombelake wengine watarudi na medali Kama Yanga 🤣🤣
Naimani atashinda huyu Intelligent businessman ni smart.. pia ni mkaka ambaye anajiheshimu licha ya hivo
Kitu ambacho ukijui ni siri hii nakupa usimwambie.
Bwana Intelligent businessman ni mtu saafi sana hajawahi kutwa na tabia za ajabu hapa
Kuhusu kumwaga pesa an mapesa sio bahiri an kiufupi hayupo kwenye kile kikundi cha #kataa ndoa ambacho hao watatu wako naimani wapo..
Samahani kwa kuandika huu mkeka ila soma tuu
 
20230605_122739.jpg
 
Back
Top Bottom