Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

I doubt she understands English [emoji1787] she will need someone to translate it for her[emoji51]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yupo mkalimani wangu ananitafsiria hapa. Hebu tulizanaaa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yupo mkalimani wangu ananitafsiria hapa. Hebu tulizanaaa
haha unajua IamBrianLeeSnr kafungiwa ban la kufa mtu🤣 leo atakunyw kvant nying sasa atakutafsiria Nan

dah ungekuwa na msambwanda ungekuja gheto nikufundishe
 
Poaa ankoliii kwemaa?? [emoji8]
Nipo napitia pitia profile
Screenshot_20230604-230909.png
Screenshot_20230604-230928.png
 
Dude. [emoji1787]
Kuna siku akuamkiwa shikamoo mjomba na mtoto wa dada yake[emoji51] akamkatipia asimuite mjomba amuite mama mdogo[emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumbeeee???
 
Thanks babe girl [emoji3590] nakupenda kinoma
Hayaaaaa oneniii wenyeweeee naambiwa hadharani km hivi kuwa napendwaaaaaaa!!!

Sasa hizo stress na makasiriko niyatoe wapi? Kwa lipio? Watu na nyota zetuu mjiniiii kuwa single nitakee mwenyewee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Nakupenda piaaa babeee [emoji8][emoji8][emoji182][emoji182][emoji182]

Antonnia uduguu ukujee hapaa harusii tunayoo andaa kamati tyuuh.
 
haha unajua IamBrianLeeSnr kafungiwa ban la kufa mtu[emoji1787] leo atakunyw kvant nying sasa atakutafsiria Nan

dah ungekuwa na msambwanda ungekuja gheto nikufundishe
Kheeeeeh nae baba tamuu kayakanyagaa wapii tenaa?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Mbna hatariii hii khaaaah Lol
 
Sasa coca kama you are gay, kwa nini huweki picha ya gay mzuri mzuri wa kutoka marekan unaweka picha ya demu[emoji3]
Kwani mie mzuri sasa?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mwenyewee nikijiangalia kwa kioo, kinaandika
"Please wait" woiiiiiiiih
 
Back
Top Bottom