Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Aaliyyah unajua kuwa huyu Intelligent businessman ana kuelewa sana na ana malengo ya dhati na wewe... Ebu sasa fanya kitu kwa ajiri yangu maana nsipendi nione ana hali aliyo nayo naomba elewa asemalo na kama umeshaelewa basi mwambie mi nikiwa shahidi
 
Aisee Hebu muulize huyo Poor Brain anavyo nichukianna kunipondea🤔🤔
👉Nishawatag kumuweka unyumbaa😂😂😂😂😂
👉 I mean no malice to nobody
Paa paa paa 🤝🤝🤝🤝🤝🤝
Hongera sana kaka kama umefikia hatua hiyo aiseeee ujue nilikua sitaki kuamini kabisa kama utamchukua huyu Aaliyyah
 
Paa paa paa 🤝🤝🤝🤝🤝🤝
Hongera sana kaka kama umefikia hatua hiyo aiseeee ujue nilikua sitaki kuamini kabisa kama utamchukua huyu Aaliyyah
Jeshi la mtu mmoja, ninavyo jisikiaje Baada ya kuambiwa Aaliyyah Ni wangu
FB_IMG_16857249313687362.jpg
 
Back
Top Bottom