Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,408
- 102,314
Madam hayo ma vitabu, utafanya nihamie kwako 😜😍
Madam hayo ma vitabu, utafanya nihamie kwako 😜😍
Ushapigwa mkwara au amekuteka uanze kumsifia 🤣🤣🤣Naimani atashinda huyu Intelligent businessman ni smart.. pia ni mkaka ambaye anajiheshimu licha ya hivo
Kitu ambacho ukijui ni siri hii nakupa usimwambie.
Bwana Intelligent businessman ni mtu saafi sana hajawahi kutwa na tabia za ajabu hapa
Kuhusu kumwaga pesa an mapesa sio bahiri an kiufupi hayupo kwenye kile kikundi cha #kataa ndoa ambacho hao watatu wako naimani wapo..
Samahani kwa kuandika huu mkeka ila soma tuu
Ni kweli, ila sometimes Ina kupa vision fulani- unaeza KUTANA na mtu ana tumia style hizo - so una muadhibu kitaalamu zaidi🤗🤗 Jack PalladinoUwa sipendelei sana kusoma vitabu vya aina hiyo. Naamini sana kwenye maono yangu, pia njia alizopitia nwingine kufanikiwa haziwezi kuwa sawa na zangu!
Sasa hapa tuko wengi, tukiwa wenyewe SI utavunjika mbavu😁😂😂
Kwakweli🤣🤣Sasa hapa tuko awenhi,btukiwa wenyewe SI utavunjika mbavu😁😂😂
😂😂😂😂, Unamjua mchungaji antonnio lusekela wa channel 10. AnasemagaUshapigwa mkwara au amekuteka uanze kumsifia 🤣🤣🤣
Yh sure lazima u-upgrade your skills to gain new onesSema Raha ya teknolojia, we una boresha- Kuna wahuni wanna kulia Rada😂😂😂.
👉Hata ukiwa kiboko, Kuna mahali utazidiwa
Cheki hi ni transportation techYh sure lazima u-upgrade your skills to gain new ones
China sasa hivi wanataka kutoka 5G kwenda 6G serikali imemwaga mpunga kussuport hiyo project hapo Shenzhen Silicon Valleys vijana wakali wa telecom hawalali huko
Sisi bongo bado tunakomaa na 4G 🤔
nakazia....njia alizopitia nwingine kufanikiwa haziwezi kuwa sawa na zangu!
Ni kweli, ila sometimes Ina kupa vision fulani- unaeza KUTANA na mtu ana tumia style hizo - so una muadhibu kitaalamu zaidi🤗🤗 Jack Palladino
Hana huo ujanja ni vile tuu namjua Intelligent businessmanUshapigwa mkwara au amekuteka uanze kumsifia 🤣🤣🤣
Ole wako unipe imani ya hovyo, Kama huyuKwakweli🤣🤣
Family for life🤗🤗💪Hana huo ujanja ni vile tuu namjua Intelligent businessman
Kaka wee mtu safi huna baya na mtu ya nini nikunyime mdogo angu AaliyyahFamily for life🤗🤗💪
Bro Jack Palladino Niko pamoja na wewe, utofauti ni muhimu Sana.Noo, usipoangalia utaishi kwenye ndoto za wengine. Jiamini na maono yako
Mmmmmh usiogope mkuuu....🙏🙏🙏🤝🤝🤝🤝🤝🤝Aaliyyah yaani huyu bro Poor Brain mpaka nime Anza kumuogopa😂😂😂. Anataka kunipangia Nini🤔🤔
EC-Council wanaanda watu kama yeye , ila juna Cerfication za kazi kazi kinomaaa..Huyu mwamba kawa certified na EC-Council lazima yuko good sana katika mambo za cybersecurity
Mkeka unauza
Sio poa aisee futurology wanataka kuja na flying cars nini?Cheki hi ni transportation techView attachment 2646984