Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,408
- 102,315
Intelli style, selfika
Wewe yako majarabibi😂😂😂😍😍😍Hauna picha dear Yan hiyo nipate na head scarf flan hiv nitapendeza
🤣🤣🤣Umenikumbusha nimeletewa suruali bwanga zile zinazobana juu na koti lake Kila nikivaa Nacheka balaa 🤣🤣Shonaa jumpsuit ya suruali, afu kwa nje weka km ki gauni fulan hivi, utatokaa mcharoooo.
Mafuta yapo sabuni zipo sijakatwa mkono 😂haha 😀 tafuta demu na hiki kimvua
Hapa hapa 😂Dogo uliona wapi kitambi?
Yaani acha tu 😂😂😂Wewe yako majarabibi😂😂😂
Nakula usiku kileTajiri Mwachiluwi huja ivisha tu 😂😂, Nina njaa Sana aisee
Masihara kijana😅Hapa hapa 😂
Wanaiona kweli Hawa😂😂😂Intelli style, selfikaView attachment 2646699
Sikuifqdhi tu ila nilikiona 😂Masihara kijana😅
Boss mbona haunujubu, maswali yangu🤔🤔🤨Sikuifqdhi tu ila nilikiona 😂
Na Mimi Nina njaa bossNakula usiku kile
Eti uzee😂😂😂, mjinga was karne weee- hata 25 haujafika😁😂😂😂😜Yaani acha tu 😂😂😂
Uzee huu kwanza watu watanishangaa ila napendasana kupendeza kiukweli sijapata ty mahela 🤣🤣
Mawazo ya ki mbuzi mbuzi😂😂😂😜, mi simoWanaiona kweli Hawa😂😂😂
😂😂😂Kwani kusema ukweli ni vibayaMawazo ya ki mbuzi mbuzi😂😂😂😜, mi simo
Cha kufutia simu sio mbaya😅Sikuifqdhi tu ila nilikiona 😂
😂😂Mm mzee mwenzenu nyie miak 25 si ya kina cocaEti uzee😂😂😂, mjinga was karne weee- hata 25 haujafika😁😂😂😂😜
Na wenye 70 tusemeje😜😂😂, jinga ile siku nimeona selfie 😂😂😂😂Mm mzee mwenzenu nyie miak 25 si ya kina coca
Itaonekanaaa tu😂😂😂😂, wahuni wakiamua. Halishindikani Jambo 😂😂😂😂😂Kwani kusema ukweli ni vibaya
Unaenda hata na tochi km uko mgodini😂😂😂Itaonekanaaa tu😂😂😂😂, wahuni wakiamua. Halishindikani Jambo 😂😂