Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,408
- 102,315
Picha zngine sio zetu wadogozetu Hao
Sis wenyew ni vibibi mvi tu kibao 😂😂
Picha zngine sio zetu wadogozetu Hao
Sis wenyew ni vibibi mvi tu kibao 😂😂
madam santo sanaForever and always mkuu
Asalaam aleykum¡
Huko Daslam mnatunyima nini??
Huku Nyakibimbirii ni jua kama loutreee!
Kumbe ushafika Dar na hujanambia??? Huku jua kareeee baraaa bila shaka Daslam mko vyediii😂😂Bhana hakuna hii ya dar ni ya kutuweka majaribuni 😂😂
Irudiweee irudiweee madam!!Picha zngine sio zetu wadogozetu Hao
Sis wenyew ni vibibi mvi tu kibao 😂😂
Sijaweka kipenz mbonaIrudiweee irudiweee madam!!
😀😀😀Tuko vyema sana kulala tu 😂Kumbe ushafika Dar na hujanambia??? Huku jua kareeee baraaa bila shaka Daslam mko vyediii
Niko poa kipenziii🤩!Hujambo dear
Nahizo mvua sasa nasikia Dar tangu majuzi kati hapaa zinanyesha kinoumaaa!!😀😀😀Tuko vyema sana kulala tu 😂
Sawa dear ni kitambaaUsijareee dear Kitambaa au kitenge??? Mama Pasta yuko vizure kwenye miongozo ya mishono
Yani acha nilikuwa na miahe nying Leo imenibid nisitishe tu kwakweli nitafute tu Hela niwe nafanyiwa deliver🤣🤣Nahizo mvua sasa nasikia Dar tangu majuzi kati hapaa zinanyesha kinoumaaa!!
Treeeinnnnnaah tukae kwa step kabessaa![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkae kwa password, woiiiiiiih
Najua utapendeza balaaa ngoja nitafute mishono nikutumiee Udugu akeee ushampa Madam mwongozo!??Sawa dear ni kitambaa
Kasema jumpsuit ila ataleta pichaNajua utapendeza balaaa ngoja nitafute mishono nikutumiee Udugu akeee ushampa Madam mwongozo!??
😂😂😂🤣🤣!Yani acha nilikuwa na miahe nying Leo imenibid nisitishe tu kwakweli nitafute tu Hela niwe nafanyiwa deliver🤣🤣
MAana Kila nikitaka kutoka mvua hii hapa nimerudi kulala tu🤣🤣😂😂😂🤣🤣!
Bora inyeshe ipunguze hilo joto la huko walai!!MAana Kila nikitaka kutoka mvua hii hapa nimerudi kulala tu🤣🤣
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Treeeinnnnnaah tukae kwa step kabessaa!
Mfanye kuchagua saree sasa, iwe ya maukaleee
Unajua sina shughuri mbovu, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]