Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 20,261
- 49,198
Picha zngine sio zetu wadogozetu HaoNa wenye 70 tusemeje😜😂😂, jinga ile siku nimeona selfie 😂😂
Sis wenyew ni vibibi mvi tu kibao 😂😂
Picha zngine sio zetu wadogozetu HaoNa wenye 70 tusemeje😜😂😂, jinga ile siku nimeona selfie 😂😂
Akitakiwi kabisa 😂Cha kufutia simu sio mbaya😅
Acha utani bana, kuna warembo wanapenda vitambi kidogo😅Akitakiwi kabisa 😂
Ahha nakujibuBoss mbona haunujubu, maswali yangu🤔🤔🤨
Njoo ukuleNa Mimi Nina njaa boss
😂😂😂 uzee unaukaribishaAcha utani bana, kuna warembo wanapenda vitambi kidogo😅
Ahaaa unataka ninyanyue vyuma gym nitengeneze six packs? Muda wa gym natoa wapi?😂😂😂 uzee unaukaribisha
Utafute utaupata tu muda upoAhaaa unataka ninyanyue vyuma gym nitengeneze six packs? Muda wa gym natoa wapi?
Muda hamna kijana acha tutafute pesaUtafute utaupata tu muda upo
Ngoja nikutafutie pichaa shangazii, niliona sehemu nkashindwa kusave, wacha niende ile sites nkatafutee[emoji7][emoji7][emoji7]Hauna picha dear Yan hiyo nipate na head scarf flan hiv nitapendeza
Sawa kipenzNgoja nikutafutie pichaa shangazii, niliona sehemu nkashindwa kusave, wacha niende ile sites nkatafutee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shangaziii ndo fashiooooooon!![emoji1787][emoji1787][emoji1787]Umenikumbusha nimeletewa suruali bwanga zile zinazobana juu na koti lake Kila nikivaa Nacheka balaa [emoji1787][emoji1787]
Asante kipenziSawa kipenz
[emoji8][emoji8][emoji8]Sawa kipenz
Mzima wewAsante kipenzi
AhahahahaMuda hamna kijana acha tutafute pesa
SI umesema vya usiku🤔, nisije haribu ratiba😂😂Njoo ukule
Yalaa🙊🙊, 🙉- hiii umejuaje😂😂😂Unaenda hata na tochi km uko mgodini😂😂😂
Usijareee dear Kitambaa au kitenge??? Mama Pasta yuko vizure kwenye miongozo ya mishono
Forever and always mkuu