Jack Palladino
JF-Expert Member
- Feb 24, 2018
- 7,245
- 22,555
Azam max wanaondoa ile channel ya zbc2 ambayo ndio inaonesha mechiSina decoder, nilitaka kuunga Azam Max ila app yao haijakaa vizuri.
Azam max wanaondoa ile channel ya zbc2 ambayo ndio inaonesha mechiSina decoder, nilitaka kuunga Azam Max ila app yao haijakaa vizuri.
Pole Sana!! relax: Game za pressure hizi usije ukapata pressure nikamkosa mchuchu mie.Nilikua natafuta pakuangalia sijapata.😑
Tulia wewe mpira hauna uchawi. 2nd half tunaenda kumaliza kazi WaarabuHawa waarabu wachawi uhuuu nes awe karibu na mimi
We are Cityzens 💪💪💪Ciiiiiitiiiiiiizeeeeeeeeens!!
[emoji170][emoji170]
[emoji460][emoji460]
[emoji120][emoji120]
[emoji471]FA 2023
HALLAH!!!
The stunning scenery 😍tukatembeeee porini ndaaani kabisaaa.. tukae huko siku mbili tu mie na wewe tufungeee 🙃🙃🙃View attachment 2644706View attachment 2644704View attachment 2644703
Wapuuzi sana!!!😬😬Azam max wanaondoa ile channel ya zbc2 ambayo ndio inaonesha mechi
Mie mshabiki wa Simba lakini waarabu walichowafanyia Yanga sijapenda.Mashabiki wa Simba piga keleleeee!
upu zenuuuu washeziiiMashabiki wa Simba piga keleleeee!
Ulitaka Yanga wabebe kombe?Mie mshabiki wa Simba lakini waarabu walichowafanyia Yanga sijapenda.
Lefa msengw sana kauza mechi watu wanasha madudy yao ya moshi anastopisha mpira na aongezi dakika za kupotezaMie mshabiki wa Simba lakini waarabu walichowafanyia Yanga sijapenda.
Tulia bwana mdogo Waarabu hamuwawezi kwa figisu nyie UtopoloMb
upu zenuuuu washeziii
Zimeongezwa mbona mzeeLefa msengw sana kauza mechi watu wanasha madudy yao ya moshi anastopisha mpira na aongezi dakika za kupoteza
itakublock embu acha nilale wew pimbiTulia bwana mdogo Waarabu hamuwawezi kwa figisu nyie Utopolo
Alitakiwa aongeze kila kipind tatu tatu ukitoa dakika alizo ongeza za kawaidaalitakiwa afidie za kusimamisha mchezoZimeongezwa mbona mzee