Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 31,010
- 60,483
Mi nimejiunga tangu nikiwa teenager....hata 18 nilikua bado sana kufika!Kipindi una Anza tumia jf, nilikuwa na different ya Miaka 8 😂😂
Mi nimejiunga tangu nikiwa teenager....hata 18 nilikua bado sana kufika!Kipindi una Anza tumia jf, nilikuwa na different ya Miaka 8 😂😂
Kila siku nasema kesho nafunga, alafu kesho yenyewe haifiki!😶🌫️😶🌫️😶🌫️🙃🙃🙃... funga hata mbili kavu
tukatembeeee porini ndaaani kabisaaa.. tukae huko siku mbili tu mie na wewe tufungeee 🙃🙃🙃Kila siku nasema kesho nafunga, alafu kesho yenyewe haifiki!😶🌫️😶🌫️😶🌫️
Hiyo itapendeza!!!!!😇😇😁tukatembeeee porini ndaaani kabisaaa.. tukae huko siku mbili tu mie na wewe tufungeee 🙃🙃🙃View attachment 2644706View attachment 2644704View attachment 2644703
We msosi ni hobby pendwa😍😍punguza kula basi.. mwili ubaki mdogo mdogo..🙃🙃
😊😊😊 nikupitie alfajiri au unanipitia hapa usiku tuondokee hapa hapaHiyo itapendeza!!!!!😇😇😁
Aisee, usije niitia mapolisi kisa Michelle wa buku 3 😂😂. Maana nabugia kilo mwenyewe😂🤗As it should be!!! Mi sipendi kupakulia mtu chakula...ajiwekee mwenye kadri anavyotaka.
Awwwwwwwww hadi tumbo limebatasamuu mjombaa kyukyuu😋😋😋😋😋aunty yangu mzurii 😊😊😊 Bantu Lady karibu tutoe hangover nipo hapa na nyuma ya Antonnia View attachment 2644711
Kilo yote pekeako Kwani weee ni msukuma????😊😊😉Aisee, usije niitia mapolisi kisa Michelle wa buku 3 😂😂. Maana nabugia kilo mwenyewe😂🤗
Nakujaaa mjombaaaaaa!😋😋😋 njoo tulishane sasaView attachment 2644713
Makusudiiii hayo mjombaaaaaa😛😛😋😋😋😋😋😋!! Kama nakuonaaa unavyofonzaaaa huo mfupaaaa😛!naaanzaaa kuutafunaaaa mfupaaa ukuje uninyweshe soup 😊😊View attachment 2644716
Yaaani wewe😂😂😂😊😊😊 nikupitie alfajiri au unanipitia hapa usiku tuondokee hapa hapa
Madam Santo, uko poaaa🤔Makusudiiii hayo mjombaaaaaa😛😛😋😋😋😋😋😋!! Kama nakuonaaa unavyofonzaaaa huo mfupaaaa😛!
Ni wa kienyeji eehh???
kama ujuavyo mjombaa wako navyopenda kufyonzaaa 😅😭😅Makusudiiii hayo mjombaaaaaa😛😛😋😋😋😋😋😋!! Kama nakuonaaa unavyofonzaaaa huo mfupaaaa😛!
Ni wa kienyeji eehh???
😅😅😅 na chumba chake hapaaa gheto.. tukiondokea hapa tunakuwa tumepunguza safariYaaani wewe😂😂😂
Siko poa nina njaa shemmm😊😊😊😁!!Madam Santo, uko poaaa🤔
Sihusiki na habari zake, iam always intellNipoooo shemlakeeeeeee was bize kidogo tyuu😊🤩!
Sis anguuu anaendeleajee kwanzaa???
😅😅😅 nakuja kukululishaaa kwa mkono wanguuu mwenyeweeeSiko poa nina njaa shemmm😊😊😊😁!!
Ugali samaki tu itatosha aweke na maharage mboga za majani na matunda 😑Na mtindi pembeni nitaunywa badae😁