Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,769
- 54,901
Hahaa pole sana kijana kapumzike sasa 😅N
itakublock embu acha nilale wew pimbi
Hahaa pole sana kijana kapumzike sasa 😅N
itakublock embu acha nilale wew pimbi
Sasa kwani angeongeza ndio mngewafunga?Alitakiwa aongeze kila kipind tatu tatu ukitoa dakika alizo ongeza za kawaidaalitakiwa afidie za kusimamisha mchezo
Wewe sio bure waarabu wamekuoaSasa kwani angeongeza ndio mngewafunga?
Niache nilale kwazaMashindano ya Africa si lelemama! Ukiachia ubora kiwanjani Kuna issues nyingine zinazochagiza ili uweze kufanikiwa!
Daadeki Waarabu wamejua kuwanyoosha vyura wa Jangwani nyieWewe sio bure waarabu wamekuoa
Ndio mkuu, wanawakilisha Tanzania, we unashabikia arabs?Ulitaka Yanga wabebe kombe?
Wote kitu kimojaLefa msengw sana kauza mechi watu wanasha madudy yao ya moshi anastopisha mpira na aongezi dakika za kupoteza
😂😂😂😂Kuvaa medali bila kombe Ni sawa sawa na irizi tu
Mzee pasingekalika hapa Bongo tungeandamwa sana. Bora hawajabeba hilo kombeNdio mkuu, wanawakilisha Tanzania, we unashabikia arabs?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyo leo muache kavurugwaaa kote kotee.Palladino [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji23]
Aaaah we mtu mkubwaa, nifanyie mafekecheehebu niache jamani[emoji1787][emoji1787][emoji1787]natoa wapi connection mimi
Uzalendo kwanza mkuu..Mzee pasingekalika hapa Bongo tungeandamwa sana. Bora hawajabeba hilo kombe
Kwenye Yanga huwa sinaga uzalendoUzalendo kwanza mkuu..