Jack Palladino
JF-Expert Member
- Feb 24, 2018
- 7,245
- 22,555
Cappuccino☕️😊
Uzalendo gani bhana😂😂😂Uzalendo kwanza mkuu..
Heshima yako chief[mention]Antonnia [/mention] [mention]Saint Anne [/mention] [mention]Bantu Lady [/mention] Muwe na Jumapili njema
Heshima yako chief
Hongera kwa ushindi
Badili user name kwanza maana ushindi umeshapataAsante sana mkuu hongera iambatane na vocha
Badili user name kwanza maana ushindi umeshapata
Alafu weka namba hapa chap unapata vocha ya elf 10
Hujamalizia vizuriAlooooooo boss tajir mwenyewe huyo
Boss mwenye meli zake Dubai tajir mwenye hisa man City [mention]Mjep [/mention] unacheka vizur kama yesu
Hujamalizia vizuri
Tajiri anayemiliki mtoto mzuri mjini toto la kingoni cocastic
Umenena vizuri[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]tajiri kama tajiri anaemiliki mtoto mkali [mention]cocastic [/mention]
Umenena vizuri
Mwambie derava wa bolt akupe seat ya mbele gharama zoote kwangu[emoji16][emoji16]
Selfika kwanza chief[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nasubir vocha hapa Boss tajir niamke niende kwenye kahawa [emoji2223][emoji2223][emoji2223][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196]
Selfika kwanza chief
Yaani umempeleka mdogo wangu Tinsley guestNipo guest mkuu nikitoka nitaselfika
Yaani umempeleka mdogo wangu Tinsley guest
Bado niko kitandani chiefTobaaaaa [mention]Tinsley [/mention] kaolewa na huko na mhindi wa Goba
Boss mm nataka nikaoge vocha basi tajir wangu wa BMW shemeji langu la ukweli lenye kumiliki pisi ya kwenda mbele namba E mpya Kilometer 0 [mention]cocastic [/mention]