Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

20191126_181308.jpeg
leo mezibahatisha huku namtumbo
 
Hahah simu linameza mkadi wote utadhani unataka kutoa hela ATM vile...

Halafu kuongea lazima ufungue kibaraza(kimfuniko cha kukinga mawimbi) na unyooshe antenna hivi...

Atoto hapa alikuwa anafutwa kamasi tu huko Tunduru ndani ndani karibu na Msumbiji [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Hivi unaniona mtoto mwenzio eeh?
 
Back
Top Bottom