Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Ndio waniweke ubao wa matangazo 😂😂😂
Wamekuhamu bana
Nipigie ile airtel inaishia na 16
Nisaidie tafadhali kumwambia apokee simu yangu jamani

Nasisitiza siyo fear ni feyaaa sijui fair.Ndio waniweke ubao wa matangazo 😂😂😂
Sio fear
Ni fairNasisitiza siyo fear ni feyaaa sijui fair.
HahahaahNdio waniweke ubao wa matangazo![]()
Sio fear
Nakupigia ole wako usipokeeNipigie ile airtel inaishia na 16![]()
Iko wapi eti jamani
Jitahidi upige masaa ya kazi maana nite sitafikisha ujumbe Jamaa atakuwa makaburiniNakupigia ole wako usipokee
Naomba uitume pm
Na ulikuwa faster![]()
Boxing day of my birthday more gifts pleaseView attachment 1273344
Asee...emu futa bana
Fika dukani kwetu ujipatieView attachment 1273358
View attachment 1273423leo mezibahatisha huku namtumbo
Marahabaa!!!
Hahahaah
Halafu huwa haitoki upesi jamanii, mpaka waamue wao
Thanks Sir, be blessedHappy birthday to you....!
Hii nimeitoa humuhumu JFView attachment 1273158