Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Twangapepeta... Siemens C25... Dah... Long time ago.... Kweli nimeamini condom zinasaidia sana[emoji23][emoji23][emoji23]
Hahah simu linameza mkadi wote utadhani unataka kutoa hela ATM vile...

Halafu kuongea lazima ufungue kibaraza(kimfuniko cha kukinga mawimbi) na unyooshe antenna hivi...

Atoto hapa alikuwa anafutwa kamasi tu huko Tunduru ndani ndani karibu na Msumbiji [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Hiyo kwenye chupa ya maji mbona kama primer...ile foundation color unaweka kabla ya kupiga main color kwa surface...

Kuna vijana siku hizi unapata wanakuwa nazo hizo mavitu then wanatumia kama kilevi kwa kuvuta tu zile harufu zake...

Boxing day of my birthday more gifts please [emoji1317]View attachment 1273344
 
Back
Top Bottom