kwanza wakati G ananifatilia nilikua naona km anataka kunitia shombo. Niliona hatuwezaniii
Ni mkaka m1 mpolee, mkimyaa, mtaratibuu, kifupi ni introvert, bhana bhanaaa
Siku ya kwanza kumpaa, hadi nikawa najiuliza ndo yeye huyu au nimechanganyaa,
G ameniwezaaa