Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 74,210
- 183,059
Hahahaaa.. Hapanaaa.!! Ngoja nikuoneshe chogo languu na komwe kwanzaa😂🤭Saloon kulikua Kuna foleni kwani mnywani!!
Hahahaaa.. Hapanaaa.!! Ngoja nikuoneshe chogo languu na komwe kwanzaa😂🤭Saloon kulikua Kuna foleni kwani mnywani!!
Ni nunue nyingineUdugu Mwachiluwi hapo hamna simu
Nileteee tonniaaa nilete tonniaaaKipenz sorry sikuona nami nilikuwa nasuka Leo kituo Dom au sio😂😂
Shusha vitu!; Imekua mda kidogo mnywani; mpaka macho yanapoteza nuruHahahaaa.. Hapanaaa.!! Ngoja nikuoneshe chogo languu na komwe kwanzaa😂🤭
🤣🤣🤣🤣🤣😁😁😁!Nileteee tonniaaa nilete tonniaaa
Nileteee tonniaaaaa.
Apo Apo dom mnapokulaga hakikisha unaninyikia Huyo mchuchu.
Nikituma nywele full ntakamatwaa walaiii 😂😁Hakuna kitu kinachokukataa we litoto aisee!
Nani Tena wakukukamata huko nyakibimbiri mnywani!!Nikituma nywele full ntakamatwaa walaiii 😂😁
Karibuu dyadyaaaa, ulipoteleaa wapiii???
Shule zimefungwaaa kwani?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Eendiwoooooooo kipenzi Dom kam kauwaaa!! Hebu tuone uvopendeza kwanza[emoji2956]
Umeona eeehhh!! Acha nijipambe basi 😁😁😁😂😂!Nani Tena wakukukamata huko nyakibimbiri mnywani!!
Pendezesha kichwa bila woga!
Mwanamke pambo! Mda wote inabidi liwe limependeza
Ndo msuko gani huo??? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nikituma nywele full ntakamatwaa walaiii [emoji23][emoji16]
hujambo mama G ???Karibuu dyadyaaaa, ulipoteleaa wapiii???
Jomoneeee nipooo dear vipi wee??hujambo mama G ???
Lakini serikali ya SA nayo iwe na ufikirio kwa visketi vile ni ngumu kwa kidume rijali kuishia kula kwa macho lazima utataka kuona kama yaliyomo yamo
Kwa hiyo mzee baba haukuwahi kula zile totoz kabisa? 🤔 Na zinajilengesha zenyeweWakati huo nilikuwa nina mwili mdogo dogo, kwahiyo madogo wakawa wanahisi kama wanaweza kunimudu vile kwahiyo ilifikia hatua wananiandikia na barua kwenye madaftari yao
Ukishindwa kujidhibiti, unaweza kuharibu kesho yako kwa utamu wa dakika chache 😅
Nipo kipenzi , mambo yanaendaJomoneeee nipooo dear vipi wee??
Niligombana na G Mda, ndo nimetoka kuongea nae sasa hivi kaniomba msamaha na kunibembelezaa, nlitamani asikate cm aendelee kunibembelezaa [emoji8][emoji8][emoji8]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Inabidi sasa ukamtunuku tunda 😀Jomoneeee nipooo dear vipi wee??
Niligombana na G Mda, ndo nimetoka kuongea nae sasa hivi kaniomba msamaha na kunibembelezaa, nlitamani asikate cm aendelee kunibembelezaa [emoji8][emoji8][emoji8]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]