Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
ushamba tu ulikuwa unanisumbua ..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwann jomoneee
nikawa nashanga 😂😂😂
ushamba tu ulikuwa unanisumbua ..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwann jomoneee
Rangi ya mtume le supa mbebez
Ile ya kujifanyisha naumwa Sana! Na uje tucheki movies si ndo unazozijua Sana eh!😂😂Anakupotosha huyo
Rangi ya mtume le supa mbebez
Invitation letter yangu inanifikia lini hivi kwani
Haya sawaMimi siwezi kushabikia Yanga bora nife kuliko kuishabikia utopolo
Asante dear karibu ukate kekiHahaha hapana.
Mkuu.
Birthday ya figo76 ndio ilikupoteza huku??
Happy birthday to figo76
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunasubir ulete wewe
😂😂Naijua hiyo hamna jipya😂😂Ile ya kujifanyisha naumwa Sana! Na uje tucheki movies si ndo unazozijua Sana eh!
Sasa mmasai kanifungulia ma files yake tokea Cuba uko
haha unajikuta Rambo eh!😂😂Naijua hiyo hamna jipya😂😂
🤣🤣🤣🤣hahahaha!
Hata hivi vitu sitatumia Tena na kubambia ovyo ovyo mwisho ilikuwa Jana.
View attachment 2638621
dah, sitii neno 😂
Nishajua ulichotaka kusema fala wewe sana 😂😂😂dah, sitii neno 😂
Helloo....[emoji23][emoji23]Naijua hiyo hamna jipya[emoji23][emoji23]
Hello
Udugu jaman kwani si maji ya moto yapo
Udugu nimepashiwa maji nimeoga sikujua kama naungua sasaiv ndio najua kumbe yake maji yameniunguza ase maji yamechemka kama ugali nimezimua na kopo mbili za maji 😂😂😂Udugu jaman kwani si maji ya moto yapo
Em pasha maji uoge