Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Ninini hiki kinachotrendi huko mjini Twitter???


Shoss akee Hivi Twitter ndio ipo Huko Daslam ama??![emoji1783][emoji1783][emoji16]!

Sinaga Aa wala bee nahivi vitu walai hebu nipeni AB C kwanzaa ![emoji4]
Uduguuu huijui twiraaaa?? Wee naee uwiiiiih.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] najua unataniaaa.
 
[emoji3]wapi ndugu@cocastic kaninyima huwez amini hajanipa hata mmoja
Hekaheka nyingi tu dear hii wiki Bora imeisha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nyiee mnatakaa wazee, sasa mie nna contenaa LA vijanaaa yankiiiiiiii
 
Carlton anazingua sana...yani kuna muda unampenda penda kidogo, ila for the most part he is very unlikeable!!!! Lisa nae tatizo upofu wa mapenzi unamsumbua!🫣🫣 Kale kajamaa hakamfai kabisa, ila sipendi akiwa na Will either maana Carlton wa watu karoho kanakua kanamuuma!😔

Nampenda Jazz (hata yule wa zamani) ila bae mpya wa Hillary ni 🔥 🔥🤩 Kama bado hujafika hapo vumilia vumilia.....😀
Carlton wivu + madawa yake vinamvuruga!
Lisa anamtaka Will, wakiwa wote kwangu its fine, C atajiheal kwa mbele huko akitulia akapendana na Jazmin, kwanza washa 💋 so wamalizie walichobakiza 😂

Jazz ✅
Wa zamani tuone wataishia wapi
Mpya nadhani sijafika, RN niko Ep8 😂

Wasituweke sana kufika S3 😋
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee niwacheeee nafaidii runguz za vijana wa UD ya mwisho mwishoo, sasa tukiachanaa July kukutana tena lini??

Nimejiachiaa free kuzifaidii kwa wingi mnooo, sahivi natongozaa mwenyewee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yani we muda wote ni 😂😂😂😂😂😂😂, mpaka kwenye nyuzi za Tanzia ni 😂😂😂😂😂😂 .
 
Yani we muda wote ni [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], mpaka kwenye nyuzi za Tanzia ni [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] .
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na nilijua unavonifatiliaaa hii lazimaa ikuumee na uta comment tyuuh, bado wawili naona hawapo online muda huu.

Vipii nakutesaa sanaaaa?? Poleeeeee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
mshamba_hachekwi 😂
IMG_6664.jpeg
 
Carlton wivu + madawa yake vinamvuruga!
Lisa anamtaka Will, wakiwa wote kwangu its fine, C atajiheal kwa mbele huko akitulia akapendana na Jazmin, kwanza washa 💋 so wamalizie walichobakiza 😂

Jazz ✅
Wa zamani tuone wataishia wapi
Mpya nadhani sijafika, RN niko Ep8 😂
Wasituweke sana kufika S3 😋
Jamani muonee huruma hata kidogo Carlton!😁😁

Jazz wa zamani namuongelea aliyekua kwenye OG Prince Of Bel Air . Kama hujaiona itafute ukiwa na muda, utaenjoy.

Sasa hivi kuna series nyingi nzuri, by the time unaikumbuka Bel Air, na muda wakutoka unakua umekaribia!🙂
 
Heaven Sent
Mama maleziii uko wapiiiiii??? Chimbo kumenogaaaa kuna bonge LA ubuyuuu, sina kifua cha kuweka hili, naupenda moyo wangu badoo.
Ufanyee ukujee nikupatieee mbea mwenzanguu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom