Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Screenshot_20230528-103558.png
 
Kwanza huku kwa Bel Air sijapenda hiki kipande Carlton anamjibu shit hivi mtoto mzuri Lisa 😂😂😏
Jibu la fvck you limemkomesha 🤣
Dr Lizzy
Eti yuko desperate to get over Will & she is willing to jump the 1st asshole that pays any attention 🤭 mie ningelia wallah.
 
Kwanza huku kwa Bel Air sijapenda hiki kipande Carlton anamjibu shit hivi mtoto mzuri Lisa 😂😂😏
Jibu la fvck you limemkomesha 🤣
Dr Lizzy
Eti yuko desperate to get over Will & she is willing to jump the 1st asshole that pays any attention 🤭 mie ningelia wallah.
Carlton anazingua sana...yani kuna muda unampenda penda kidogo, ila for the most part he is very unlikeable!!!! Lisa nae tatizo upofu wa mapenzi unamsumbua!🫣🫣 Kale kajamaa hakamfai kabisa, ila sipendi akiwa na Will either maana Carlton wa watu karoho kanakua kanamuuma!😔

Nampenda Jazz (hata yule wa zamani) ila bae mpya wa Hillary ni 🔥 🔥🤩 Kama bado hujafika hapo vumilia vumilia.....😀
 
Nipoo kipenzee huku mikaratasi huku maandalizi ya rekezzooo basi hekaheka tupuu[emoji4]!

Wiki nzima hii sijakuona humu walai ukute coca ashakupatia kitruuu kimya kimya mnaenjoy tyuu maisha hukooo[emoji16][emoji16][emoji23][emoji23]!

Mkipata wa akiba msinisahau dadaenu hapaa[emoji144][emoji1783]!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee niwacheeee nafaidii runguz za vijana wa UD ya mwisho mwishoo, sasa tukiachanaa July kukutana tena lini??

Nimejiachiaa free kuzifaidii kwa wingi mnooo, sahivi natongozaa mwenyewee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom