Msalimie aliye kaa kwenye kiti.



Msalimie aliye kaa kwenye kiti.
Naam utakuwa umefanya vyema...though surprises do exist
Mzungu humuoni mpendwaMbona hamna mtu kwenye kiti
Mzungu humuoni mpendwa
Umebadilisha picha hii sio ya mwanzoMbona viti vitupu
Kwa hiyo mimi nakutaka 🤔Anaenisifia u HB ananitaka.
Hivi nipo sahihi kwa mtazamo huo.?
Kwa hiyo mimi nakutaka 🤔
Umebadilisha picha hii sio ya mwanzo
Unaleta ujanja wa sungura ile ya mwanzo walikaa wanawake wa kizungu wawili viti tofauti.
Vyote kwa pamoja vinaambatana kama ngozi na nyamakuna kutaka na kupenda ujue
.caption thisView attachment 1273088