Selfika na JF: Snap it. Show it

Wana hoja gani? Wanafananisha na kande za shule ambazo zilikuwa haziungwi🀣

Ya milimani nishakula
Ya nazi + karangq nakula
Ya mahindi mabichi mazima mazima nakula
YanπŸ˜‚πŸ˜‚
Wasikilizwe kidogo tu ndugu mjumbe!πŸ€“πŸ€“ Itakua wakisikia tu vinatajwa wanakumbuka ladha ya shule.

Haswa upate vikiwa vimepoa na kachai ka lemongrass!!🀀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…