Selfika na JF: Snap it. Show it

Ewaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na ugali kama uliopika leo
Na zile mboga unawekaga nazi mwee

Hivi makazi mapya ni wapi siku nije niwatembelee[emoji38]
Mara nahamia hapohapo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Umepata!!!☺️☺️
Kama kesho nataka nipike majani ya maboga, kama naona yatakavyonoga!

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Karibu na upepo wa Ununio unapishia!πŸ˜‰Hamia kabisa tuwe tunapokezana kupika!πŸ™ˆπŸ™ˆπŸ™ˆ
 
Hahaha sasa sisi wanaume kutwanga kwa kinu ni changamoto

Na ukisema upandishe bei kufidia hizo gharama wateja watakimbia bei changamoto sana
 
Wana hoja gani? Wanafananisha na kande za shule ambazo zilikuwa haziungwi🀣

Ya milimani nishakula
Ya nazi + karangq nakula
Ya mahindi mabichi mazima mazima nakula
YanπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…