Jack Palladino
JF-Expert Member
- Feb 24, 2018
- 7,245
- 22,555
Shida imekuwa gafla sana kaka [emoji23]
Hakuna ghafla kwenye hizi ishu!
Shida imekuwa gafla sana kaka [emoji23]
😅😅😅 kama kawa anapambana na predatorCommando John au sio[emoji3]
[emoji28][emoji28][emoji28] kama kawa anapambana na predator
Hivi ununio ndio ipo wapi?ni pazuri sana
na pametulia ukienda na na mawazo yanatoka kabisa
My ex vipi tena?Hivi ununio ndio ipo wapi?
bora ufanye hivyo aisee🤣🤣🤣 nitajitahidi nifanye hivyo, nikinunua tu inabidi nianze fasta fasta kuzipikia kwanza ili kuonja kusinimalizie
Unaweza ingilia mataa ya kunduchiHivi ununio ndio ipo wapi?
Huko sijawahi pita,Unaweza ingilia mataa ya kunduchi
au ukaja hadi Boko chama ukashuka na barabara hiyo hadi baharini .
napapenda aisee
dynasty resort pametulia
Si ungekuwa ushanipeleka siku zote hizi nilizokaa mjiniNitakupeleka my ex baby
KwendaaNext month ukiwepo mjini nitakupeleka
Siku ujepo utembeapoHuko sijawahi pita,
Nimeishia Tegeta.
DSM ni kubwa jamani[emoji119]
Sent using Jamii Forums mobile app
Lakini haukutia hasara sio? 🤣bora ufanye hivyo aisee
mie siwezi kupika bila kuonja aisee ..
kuna muda nilikiwa natengeneza peanut za kuuza aha nilikuwa natafunq karanga
Ah sikutia hasaraLakini haukutia hasara sio? 🤣
Unakuja na jezi zetu??🙂Hapo sawa tukiongea utaelewa tu!..worry out[emoji4]
Mtoto yuko wapi??🤣🤣🤣Sasa unaona namwambia mtoto nataka kwenda kwake unashindwa kuelewa nini?[emoji28]